Kusaidia ufanikishaji wa SDG za UNDP

Kusaidia ufanikishaji wa SDG za UNDP

Kusaidia ufanikishaji wa SDG za UNDP

Sustainable Development Goals (SDGs) ambayo ni sehemu ya United Nations Development plan and the African Union’s Continental Education Strategy for Africa imeweka mfumo wa kukabiliana na changamoto za Afrika katika elimu. Yote mawili ni jasiri na yenye malengo makubwa na yanahitaji watu wengi kushiriki na kuchukua mkabala wa pamoja ili kuyafanikisha. 

Kazi zote za ESSA zinalingana na malengo ya SDG na hasa SDG4 ambayo ni kuhakikisha elimu jumuishi na ya ubora kwa wote na kukuza mafunzo ya milele maishani.  

Vivyo hivyo, kazi ya ESSA inalingana na Mkakati wa Elimu ya Bara wa AU ambao unasaidia maono yake kwa Afrika mwaka wa 2063.