JIHUSISHE

Kuna njia nyingi za kujihusisha na ESSA. Tazama na uone kinachokufaa zaidi.

Toa msaada

Toa msaada 

IIkiwa ungependa kutusaidia kifedha unaweza kufanya hivyo kupitia kutoa msaada moja kwa moja kupitia au wetu au kuwasiliana na fundraising@essa-africa.org

fundraising@essa-africa.org


Kama Mshirika

Kama Mshirika

Kama unavyoona ESSA ina ushirikiano kadhaa wenye nguvu ndani na nje ya Afrika na aina mbalimbali za mashirika makuu. Ikiwa ungependa kuchunguza uwezekano wa shirika lako kujiunga na kundi hili linalokua la watu wanaofanya kazi ili kufanikisha mabadiliko halisi na ya kudumu, tujulishe.


Ujuzi na wakati

Ujuzi na wakati

Wajitoleaji

Ikiwa kuna kitu tunachofanya ambacho ungependa kusaidia kwa kujitolea, tujulishe ni nini, jinsi gani unavyoweza kusaidia na mbona unadhani utakuwa usaidizi mkubwa.

Uungaji mkono

Shirika lako la sasa huenda likataka kutusaidia kwa kukusaidia wewe au mwenzako kazini kuja kuunga ESSA mkono ili kuharakisha kazi fulani tunayofanya. Ikiwa ndivyo, wasiliana nasi ili tuwe na mazungumzo ya kusisimua . 

Washauri

Ni siku za mwanzo lakini tunakusanya kikundi kidogo cha washauri wazuri wa kutusaidia katika miradi mbalimbali ya ESSA na katika kujenga uwezo msingi wa ESSA binafsi. Ikiwa unadhani unaweza kutusaidia, tujulishe. 

Watafiti

Mojawapo kazi zetu za kwanza ni kubadilisha visibility and accessibility of research conducted by Africans on Education in the region. Ikiwa unajua utafiti fulani au wewe mwenyewe unafanya utafiti fulani ambao unadhani unaweza kutuvutia sisi na wengine, tujulishe.  


Dhana/Kazi yako

Dhana/Kazi yako

'Tujulishe mawazo yako na unachofanya'.

Hii inaweza kuhusiana na mojawapo ya mambo yaliyopo our work au iwe jambo mpya. Kwa mfano, huenda umefanya kazi fulani kuhusu mada tunayofanyia kazi ambayo unadhani itakuwa ya manufaa kwa moja ya jamii zetu na unataka kushiriki

Vinginevyo, unaweza kuwa na wazo mpya kabisa au njia tofauti ya kushughulikia kitu unachotaka kushiriki. 

Wasilisha mawazo yako